Thursday, August 9, 2007

Alphonce


Wadau alphonce wa kwanza kulia na katikati ni mpambe wa bwana harusi na kulia ni bwana harusi mwenyewe ambaye ni bro wangu, hapo wadau ilikuwa ni masaa 3 kabla ya harusi yenyewe. Picha na Abdallah Kimario wa Bagamoyo

Keki ya harusi



Wadau, hii ni keki ya harusi ya bro wangu, ilifungwa huko Bagamoyo, nitawapa matukio zaidi maana harusi kama hii sijawahi kuiona toka nizaliwe, tuwe pamoja wadau

Wadau mitaa ya mahakama ya kisutu



Wadau, naendelea kuwapa matukio tofauti tofauti hasa yaliyojiri asubuhi hii, hapa mpiga picha wetu alikuwa maeneo ya mahakama ya kisutu mjini Dar es Salaam, na kuwakuta baadhi ya wadau wakijadili mambo fulani fulani ili siku ya leo ikae sawa