Tuesday, August 14, 2007

Bibi



Wadau, bibi huyu wakiasia si kwamba ana njaa, au anaugua, la hasha ni kwamba amezeeka na akatelekezwa na ndugu zake, picha hii tumeipata katika website moja ya huko majuu.

Friday, August 10, 2007

Hija ya Vijana 2008


Wadau, mwakani 2008 mdau mwenzenu natarajia kwenda Sydney-Australia kwa mkutano pamoja na Baba Mtakatifu Benedict XVI, si vibaya mkanichangia maana gharama kwa safari nzima ni pesa nyingi sana ni kama millioni 1,350,000/= za kitanzania ambacho kwangu ni kiasi kikubwa sana, kama mtu atapenda kunichangia kidogo, tuwasiliane kwa mail address yangu yaani stevemegusbes@gmail.com, nitashukuru wadau

Thursday, August 9, 2007

Alphonce


Wadau alphonce wa kwanza kulia na katikati ni mpambe wa bwana harusi na kulia ni bwana harusi mwenyewe ambaye ni bro wangu, hapo wadau ilikuwa ni masaa 3 kabla ya harusi yenyewe. Picha na Abdallah Kimario wa Bagamoyo

Keki ya harusi



Wadau, hii ni keki ya harusi ya bro wangu, ilifungwa huko Bagamoyo, nitawapa matukio zaidi maana harusi kama hii sijawahi kuiona toka nizaliwe, tuwe pamoja wadau

Wadau mitaa ya mahakama ya kisutu



Wadau, naendelea kuwapa matukio tofauti tofauti hasa yaliyojiri asubuhi hii, hapa mpiga picha wetu alikuwa maeneo ya mahakama ya kisutu mjini Dar es Salaam, na kuwakuta baadhi ya wadau wakijadili mambo fulani fulani ili siku ya leo ikae sawa

Tuesday, August 7, 2007

Mdau

Mdau amekutwa maeneo ya town amembonji, mpiga picha wetu akujua tatizo la huyu jamaa tena katika ofisi za watu, muda wa mlo wa mchana!!!!! mpiga picha wetu atatueleza hasa huyu kijana tatizo lake. wadau bado nawakumbusha kutuma picha ya matukio mbalimbali katika stevemegusbes@gmail.com na maelezo yake ili niwamuvuzishie au sio

WINCOR ATM Support Manager


Mr Peter Reginaldo, who work at Technology Associates thinking for something. He is very busy man and he always make sure he's customers who use WINCOR are happy, e.g Exim Bank. Thank you Mr Peter, photo by Joseph Mwaheleja aka Mwanawane