Tuesday, August 7, 2007

IT Teacher


Mwanawane (jina tunalo kapuni) akitoa lecture ya Information Technology alikutwa na mpiga picha wetu frank aka Alphonce, inasemekana alikutwa akipiga lecture chumbani kwake mitaa ya mikocheni-chama. Lete picha mdau na utume kwa stevemegusbes@gmail.com na maelezo yake nami nitaimuvuzisha hewani. Ahsanteni

No comments: